FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #21
MEADS (Medium Extended Air Defense System)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimecheka kiboya sana😀😆😀Wameanza kutoa milio huko baada ya kuona Wabongo tuna makombora yasiyo zuilika kwenye hayo ma mitambo yako.
Wazee tutembee kifua mbele hili bomu letu linauwezo wa kutua mahali popote pale Duniani bila kuzuiliwa na mtambo wowote ule View attachment 1477661
Dadeq penye hii hata nyuki hawapiti
Mkuu uko vizuri naona umeonyesha teknologia tofauti za Ulinzi wa Anga kwa mataifa pia tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu muda wote tupo tayari ukitubipu tunakupugia. Hiyo hapo chini [emoji116] ni moja ya mizinga kutoka Tanzania yenye uwezo wa kupiga sehemu yoyote ile hapa duniani na bila kuzuiliwa na hiyo mitambo ya mabeberu.Tanzania Tupo Salama
Tunamshukuru Awamu Hii Ya Tano
Imeweza Kumiliki Technology Kubwa Sana
Hayo Yote Yapo Sawa Tanzania
Untraceable, undetected..Kweli mkuu muda wote tupo tayari ukitubipu tunakupugia. Hiyo hapo chini [emoji116] ni moja ya mizinga kutoka Tanzania yenye uwezo wa kupiga sehemu yoyote ile hapa duniani na bila kuzuiliwa na hiyo mitambo ya mabeberu. View attachment 1483085
HahahaBongo tuko vizuri hiyo S-400 kwa East Africa ndio tunao huo mfumoo
Sent using Jamii Forums mobile app