MIG 31 pasua kichwa

Sorry to say hufahamu. kwanza this is not a fighter , ni interceptor not a fighter.
In class ya interceptor ziko ndege nyingi, na hii sio bora kuliko zote, record zake zinasemaje kwenye conflicts ambazo imetumika.
We ndio hujafahamu hebu soma hapa hio ni Multifunctional.

nakuwekea hio quote hebu soma ufahamu, MiG-31BM is a high-speed multifunctional long-range fighter aircraft that can destroy both air and ground targets. The variant is equipped with upgraded avionics, hands-on-throttle-and-stick (HOTAS) controls, liquid-crystal colour multifunction displays (MFDs), a powerful on-board computer system, digital data links and a phased array radar. It has the capacity to intercept 24 targets simultaneously
 
Nadhani hujanielewa, mig 31 inashare some design elements with mig 25, mig 31 ilitengenezwa kama replacement ya mig 25p, is why zinafanana vitu vingi but not the same.
Mig 31 ni ndege mtambuka sana. Hukubali modernization kutokana na Hali ya mazingira ya kijeshi kila Mara eg tofauti na miaka kadhaa iliyopita mig 31 ambayo imetengenezwa Kama interceptor leo inatumika kama nuclear bombers kwa kubeba air to ground hypersonic missile kwa jina dager.
Nb.
Mig 31 ni kizazi Cha nne Cha interceptor zaidi ya kuwa multrole fighter jet. Mig 25 Ni third generation interceptor. Inakadiriwa Russia Ina mig 31 zipatazo 200 Katika airforce yao Kati ya zaidi ya 560+ ambazo zilitengenezwa. Na Kati ya hizo 500+ Kazakhstan Ni taifa pekee nje ya Russia lenye kumilili mig 31?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sorry to say hufahamu. kwanza this is not a fighter , ni interceptor not a fighter.
In class ya interceptor ziko ndege nyingi, na hii sio bora kuliko zote, record zake zinasemaje kwenye conflicts ambazo imetumika.
U -2 spy plane , Sr 71 blackbird Ni miongoni mwa interceptor za kundi lake ( mig31) lakini hizo zingine Ni zao la kizazi Cha 3 wakati mig 31 Ni kizazi Cha nne.
Nb.
Mig 31 Ni interceptor pekee ambayo ipo operational worldwide ikiziacha u 2 na Sr 71 black out of service kwa kipind kirefu.
Katika operation za kig 31 na mig 25 jaribu kuingia Google kujiongezea maarifa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndege zingekuwa na hizi sifa ulizotaja huenda Urusi ingetawala anga la Ukraine.
T14 Armata
 
Serbia war na iraq pia,, afaghnistan ndege iliyombemba Dark angel(ayatolah mike)
Kitambo mno nadhani kama miaka zaidi ya 10 iliyopita, hiyo ya Afghanistan haikuwa ndege za kushambulia kama F-16 au F-15 tena ilianguka kwa sababu za kiufundi tu.

Ni ngumu Sana kutungua ndege Vita za kisasa za US Ila za Urusi zimegeuka vyuma chakavu hapo Ukraine..
T14 Armata dudus Bukyanagandi mohamedidrisa789 Jackal
 
Sababu kuu US hajapigana na capable country tangu Vietnam na korea.
 
Hizi ndege zingekuwa na hizi sifa ulizotaja huenda Urusi ingetawala anga la Ukraine.
T14 Armata
Mig-31 ni interceptor iliyoundwa kutoka kwa Mig-25 Foxbat. Hizi sifa za Mig-31 ni ndogo kwa zile sifa ilizokuwa inapewa Mig-25 kabla Marekani na NATO hawajaijua mpaka wakalazimika kufanya mission kwa rubani wa Urusi aiibe na kuitua Japan.

Mainjinia wa Marekani wakaisoma na kugundua ni kubwa jinga. Haikuwa stable ikiongeza speed, haikuwa na uwezo wa kumaintain speed kali kama ilivyotajwa kwenye mbwembwe kama hizi, radar ikiwa juu sana haioni chini maana ndege inaenda high altitude, computers na electronics ni za kawaida. Wakaishia kuiona sio tishio na hamna lolote la kujifunza kwenye ndege hiyo. Ndio Soviet baadae wakaja na modification wakaitoa hii Mig-31 Foxhound.

Ni ya kawaida. Anayetaka kusema zote hizi ndege ni nzuri aseme zilitimiza kazi yake kwa namna gani. Kama zote hizi mbili zingekuwa bora zingeintercept walau SR-71 Blackbird moja ya Marekani ila hazikuweza. Miaka ya baadae Foxhounds zilianza kutumiwa kwenye reconnaissance kwa vile zina speed, range na altitude kubwa. Kwa sasa zinatumika pia kama missile carriers mfano Kinzhal hypersonic missile
 
Yote hayo yananipa maswali magumu akilini?
 
Hiyo ni miaka ya 1953-1954 zamani mno.....Cha ajabu Urusi kapoteza idadi inayokaribiana na hiyo hapo Ukraine.
kp kipanya44
Kutokea mwaka 2000 mpaka 2009 kwa Afghanistan TU us amepoteza helicopter 375.
Nb. Fuatilia usikariri.
Ndege isidondoshwe na Manpad ya mujahideen kisa Ni ya Kimarekani je sio kituko hicho?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…