MIG 31 pasua kichwa

MIG 31 pasua kichwa

Oh, is it? Je,unakumbuka Dunia iliwahi kuambiwa nini kuhusu hyped American Patriot,THAAD and Aegis integrated air defense systems, kwamba defense system za Kimerikani hazina mpinzani Duniani, kumbe ni ulaghai mtupu!!

Je,unajua baadae kulikuja kudhilika nini kuhusu mapungufu ya mifumo hiyo ya ulinzi wa anga inayo undwa Merikani?? Hapa nta orodhesha mapungufu ya mifumo hiyo - sasa wewe fanya kautafiti kidogo ili ujue undani zaidi wa mapunguvu hayo.

La kwanza lilihusu mfumo wa kiulizi wa anga wa Kimerikani ujulikanao kama Aegis BMD, unapigiwa debe kama nini sijui? Siku moja meli ya kivita ya Merikani ( Donald Cook) yenye mfumo wa Aegis BMD iliingia bahari ya Black Sea ikajongea karibu na Naval Base ya Urusi, jeshi la Russia likatuma/rusha ndege mbili type SU-24 pamoja na helicopter zikaizunguka meli ya Kimerikani kwa takribani dakika 45 kama nakumbuka vizuri - Russian fighter jets switched on their most advanced aircraft mounted electronic warfare (EW)system (Khibiny)zenye uwezo mkubwa wa kuingilia/jam American state-of-the-art radar based weapon system ambayo ni Aegis yenyewe - system nzima ya Aegis on board ilizimwa kama mshumaa remotely by Russian SU-24 jet fighters buzzing the Donald Cook battle ship, crews wote kwenye Meli wakakimbilia kwenye Deck kushuhudia kilicho kuwa kinaendelea hawakuwa na jinsi/lakufanya baada ya system zao kuzimwa na ndege za Urusi, tafuta video clip kwenye UTube wasikilize US sails walikuwa wanasema nini wakati ndege za Urusi zilivyo kuwa zina-buzz meli ya kivita ya Merikani - wote walikuwa woga kama nini, hata hawajui wafanye nini?? Baada ya ndege za Urusi kusitisha zoezi hilo , ndio mfumo wa Aegis ukarudi hali yake ya kawaida, je, warusi wangehamua kukaanga kabisa electronic components on board the ship Captain/Admiral angefanya nini, baadae meli hiyo ilikimbizwa kwenda kufichwa Romania na nasikia baadhi ya baharia waliwasilisha barua za kuacha kazi baada ya kushuhudia kisa hicho wakiwa melini!! Ukweli huo Amerika haiwezi kuutangaza au kukiri na vyombo yao vya habari vipo kimya kabisa - kazi majivuno tu na dharau za kijinga, masaa yote kujifanya wao zaidi!!

Kisa cha pili cha kuonyesha mapungufu ya Amerikan air defense system kilitokea miaka mitatu/minne iliyo pita wakati Petrochemical Industrial Complex ya Saud Arabia ilipo shambuliwa na waasi ya Yemeni kwa kutumia vijiroketi vya kuunda kwenye backyard (DIY) vilifanikiwa kulipua takribani eneo zima la kiwanda na kuitia hasara utawala wa Saudia - lakini miaka yote tulikuwa tuna ambiwa kiwanda hicho kikubwa kinalindwa na mfumo wa Patriot batteries 24X7, sasa swali: je,hizo roketi mshenzi za waasi wa Yemen zilipenyeza vipi kwenye mfumo wa teknolojia kabambe za Kimerikani?? Jibu unalo bila shaka.

Kisa cha mwisho kinahusu kambi mbili za kijeshi la Merikani huko Iraq-Dunia iliambiwa kwamba kambi hizo ni impregnable ie zinalindwa na air defenses sio za Patriot pekee bali na THAAD 24X7, sasa nini kilitokea mapema asubuhi moja baada ya Iran kuvurumisha roketi 12 kwenda kushambulia kambi zote mbili kwa mpigo, kambi zote mbili zilichakazwa na maroketi ya Iran, hakuna hata roketi moja iliyo tunguliwa na mifumo hiyo ya sayansi ya kileo ya Merikani-Roketi zote za Iran zililipua all designated targets with dead accuracy hapo hatujagusia idadi ya majeruhi na vifo vya wanajeshi wa Kimerikani vilivyo tokea kwenye makambi ya Iraq baada ya mashambulizi ya roketi za Iran - mambo hayo huwa havisemwi kabisa, kazi kuisema vibaya Iran na kuidharau.

Now Bottom line, is: Visa tajwa hapo juu vinakupa picha gani kuhusu overall performance za mifumo ya wenzetu ambayo upigiwa debe 24X7 na kuponda mifumo ya ulinzi wa anga wa mataifa mengine - Merikani Adminstration wapo radhi hata kuziwekea vikwazo vya kiuchumi mataifa huru ambayo yanataka kununua S-350/400 air defense systems kutoka Urusi -what does that tell you, hivi inaingia akilini kwamba taifa linalo jiamini kijeshi na kiteknolojia linaweza kufikia hatua ya kufanya ujinga huo wa kuwawekea kauzibe washindani wako kibiashara na kijeshi, kwani wao NANI??
Comment yako imejaa chuki kubwa mno na husuda dhidi ya Marekani, Kama Marekani ni dhaifu kiasi hicho,Iran na Urusi wanashindwa nini kwenda kuivamia Marekani na kuisambaratisha kwa sababu ni adui yao namba moja?
Hawataweza kujaribu watajuta,sababu ulizotoa ni za kitoto sana, mbona umekwepa kuzumgumzia Rockets za Himars za US zilizosambaratisha kabisa kambi za Warusi Ukraine na hadi wamekimbia mji wa Kherson.
Marekani bado ni mwamba wa Dunia hii,hizo attacks za Warusi kwenye meli na mengineyo na mambo ya kawaida sana ambayo hayawezi kabisa kuwa sababu Eti US hawana lolote.
Hizo ni comment za chuki tupu
 
Hizi ndege zingekuwa na hizi sifa ulizotaja huenda Urusi ingetawala anga la Ukraine.
T14 Armata
Hivi we bado umelala hebu soma hi habari uone MIG 31BM inafanya nini hapo Ukraine hii ni high speed multifunctional hakuna ndege duniani inaweza kushinda nao.

 
Back
Top Bottom