MIG 31 pasua kichwa

Comment yako imejaa chuki kubwa mno na husuda dhidi ya Marekani, Kama Marekani ni dhaifu kiasi hicho,Iran na Urusi wanashindwa nini kwenda kuivamia Marekani na kuisambaratisha kwa sababu ni adui yao namba moja?
Hawataweza kujaribu watajuta,sababu ulizotoa ni za kitoto sana, mbona umekwepa kuzumgumzia Rockets za Himars za US zilizosambaratisha kabisa kambi za Warusi Ukraine na hadi wamekimbia mji wa Kherson.
Marekani bado ni mwamba wa Dunia hii,hizo attacks za Warusi kwenye meli na mengineyo na mambo ya kawaida sana ambayo hayawezi kabisa kuwa sababu Eti US hawana lolote.
Hizo ni comment za chuki tupu
 
Hizi ndege zingekuwa na hizi sifa ulizotaja huenda Urusi ingetawala anga la Ukraine.
T14 Armata
Hivi we bado umelala hebu soma hi habari uone MIG 31BM inafanya nini hapo Ukraine hii ni high speed multifunctional hakuna ndege duniani inaweza kushinda nao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…