Yaan na mm ndio naona leo[emoji25]
Hapana niliacha zamani sana..humu nina miaka dahari sijaingia
Biashara inataka subira. Ndio kama hivi katangaza mwaka 2017 wateja wamekuja kuanzia 2023 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thread year 2017
Wateja wanakuja 2023...[emoji1787]
Ndio wateja wamekuja sasa wanataka mzigo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana niliacha zamani sana..humu nina miaka dahari sijaingia