Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

byongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
827
Reaction score
1,945
Habari zenu.
Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma.
Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000
Ipo fresh kabisaaa

Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000
Fungu la wanne kwa sh.2000.

Napatikana Kimara,Dar es Salaam.

Karibuni sana.
IMG_20170328_135153.jpg
Screenshot_20170303-151353.png

0693255995
 
Thread year 2017
Wateja wanakuja 2023...[emoji1787]
Biashara inataka subira. Ndio kama hivi katangaza mwaka 2017 wateja wamekuja kuanzia 2023 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom