Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

Hilo jina la makolo kalitoa nani ? siss tunalitambua utopolo liliotolewa na shabiki lile linalotembea na midoli ya rangi za ccm na kuvaa miwani mitatu mitatu
Tumelitoa sisi, si shida usipolitambua maana sisi tunalitambua.

Haya naomba majibu ya hiko nilichouliza.
 
Tumelitoa sisi, si shida usipolitambua maana sisi tunalitambua.

Haya naomba majibu ya hiko nilichouliza.
kazi yenu huko ni kukotoa majina ya hovyohovyo? ila general Utopolo alitisha sana hilo jina hadi Ghana, Nigeria wanalijua limevuka mipaka sana
UTOPWINYO
 
hahahahaah hii mechi ipite tu aisee....
 
Kwaiyo wasemaji wakivurugana ndo utapata ushindi kesho, ngoja tusubili icho unachokiongea tuone Kama kitatokea maana watu Kama nyie ni kuwaumbua kwa vitendo alafu midomo mtaifunga zip
 
Oya wewe Mightier kama unaupata umbea wote huu wa Kambini, Basi wasimtenge Haji Manara pekeyake, inaonyesha hapo Yanga kuna Yuda mwingine mamluki.
 
Yanga bila kuloga hawatoki kesho. kwa hali ilivyo wanafanya kila mbinu ili washinde match. maana wasiposhinda kuna upepo mbaya sana utavuma pale jangwani. kwa hiyo hii match kwa yanga ni muhimu mno kushinda kuliko ilivyo kwa simba
Yanga ina watu safari hii wewe....tunakusubirieni nyie mtafanyaje bila Luis na Chama
 
Ila itakua kweli maana sope amepoa sana
Ukiona Mightier nakuja na Taarifa hapa jua 99.9999% ni ya Ukweli mtupu na nilichokileta ndiyo Kinaendelea kwani huko ndani ( Klabuni Kwao Yanga ) nina Watu ambao Wao wanadhani ni Wenzao wakati ni Simba SC Kindakindaki.
 
Mkuu basi wewe utakuwa ni jasusi uliebobea.
Hapana Ndugu Mimi siyo Jasusi na wala sina Hadhi hiyo isipokuwa nina Uwezo mkubwa wa kupata / kuzijua sana Taarifa za ndani kabisa za Klabu ya Yanga.
 
Timu inakuwa na wasemaji luundo kila mtu anajitangaza msemaji.lazima wavuruge timu. Lazima abaki mmoja huyohuyo.msemaji huyo huyo muamasishaji. Sasa yanga yangu mnasajili viongozi wengi kuliko wachezaji ndio.maboresho hayo?
Huenda kati ya Mashabiki wa Yanga SC ( ambao Kutwa huwa Nawadharau kwakuwa hawana Akili ) basi Wewe ndiyo ukawa Mmoja wao tu mwenye Akili nzuri na sawasawa kwani Umeandika Madini ( Point ) tupu Ndugu.
 
Yanga bila kuloga hawatoki kesho. kwa hali ilivyo wanafanya kila mbinu ili washinde match. maana wasiposhinda kuna upepo mbaya sana utavuma pale jangwani. kwa hiyo hii match kwa yanga ni muhimu mno kushinda kuliko ilivyo kwa simba
Hivi Yanga SC yako hii sasa ilivyo hata Wakiroga mpaka watoe Mikafara kwa Simba SC iliyokamilika unadhani inaweza Kuifunga? Endelea kuota Ndugu ila leo iwe ni dakika 90 au ziada 120 au Mikwaju ya Penati Yanga SC anafungwa. Tunza hii Post yangu na baada ya Saa 1 Usiku tutakutana hapa hapa JamiiForums sawa?
 
Kala ban ya maisha ila karudi kivingine siku hizi akijulikana kama Mightier kama hivi anatupatia za ndani kabisa kutoka utopolo,,
Kuna Member humu kasema kabadili ID yake na sasa anajulikana kama Poisonous sasa labda nikuulize tu je, Member anayepigwa Permanent Ban anaweza Kubadili ID yake?

Punguza / Punguzeni Viherehere halafu sina Uhusiano nae Wowote ule na naitwa Mightier na siyo huyo Basha wenu ambaye nafurahi kuona Wengi wenu Kutwa tu ni Kumjadili Yeye na huenda hii inaonyesha kuwa alikuwa Akiwakaza ( Akiwakazeni ) vizuri kabisa.
 
Maajabu ya dunia, nimewaza nimefanya ku google kuona hii system ya kuwa na wasemaji iko nchi gani na ikaleta maendeleo hakuna ni huku kwetu mambo ya ajabu badala team kaandaliwa tuko kuuza sura. Kocha mkuu ndiye anatakiwa kuongea na press basi wasemaje wakakae nyuma ya pazia kuendesha social media au release statement basi acheni wenye taaluma wafanye kazi.
 
Siitwi Popoma bali naitwa Mightier sawa? Kinachonishangaza tu ni kwamba umeshaona kuwa Mimi sina Taarifa za Kweli na mpaka Unanipuuza sasa inakuwaje Unateseka na Mimi 24/7 hapa JamiiForums huku kila mahala ukiyarudia tu haya maneno yako?

au Mightier Kakutombea Mkeo na sasa una Chuki na Hasira nae? Hivi Threads za maana za Members wengine hapa huzioni? Kwanini usizisome hizo zao na Kutwa unahangaika Kuzisoma zangu ambaye hunipendi na huniamini?

Nikiwa nasema nyie ni Wapumbavu muwe mnanielewa sawa? Na nitaendelea Kuwadharau mpaka muwe na Akili. Pumbavu..!!
 
@moderator

Mtu anatukana matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…