Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

Baada ya ile kolo day alikuja na nyuzi ya kumuhoji kocha wa mazembe akidai huyo kocha kasema haijui Yanga,lakini baada ya hii video akaufuta ule uzi fasta,cha ajabu kuna kolokwinyo humu uwa wanaziamini kabisa nyuzi zake
 

Attachments

  • VID-20210920-WA0008.mp4
    10.3 MB
Mzee baba unechamba..tena umechanja na mchanga au migomba..Kwa taarifa yako tu unaweza ukawa sahihi kwenye mengine ila sio kuhusu Manara eti kasusa kuipromot mechi ya leo..game ya leo haina Mwenyeji..hakuna timu itakayopata mapato...hata thumni..ni mechi ya kijamii..iko chini ya TFF so mwenye wajib wa kuipa promo ni TFF sio Simba wala Yanga...

Ingekuwa mechi ya ligi ungeona Simba ambao wako nyumbani wangefanya hamasa kubwa ya kuipa promo ..au ingekuwa mechi ya FA basi timu zote mbili zingefanya promo Kwa kuwa mapato ya mechi za FA yanagawanywa Kwa timu mbili shiriki
 
Karibu jangwani, sisi tuna chukua yeyote. Hata yu Ceo mrembo tuko mbioni kumchukua
 
You are danderhead,
I can't offer you a mileage.
 
Ni yeye Gentamycin,,,, hakuna tusi jipya kipapa wee
 
Nimeota leo UTOPOLO wamepigwa 2 bila goli la pili kaweka sakho
 
Ujuaji mandazi ndio huu.
 
Haya tumeitunza.

Vipi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…