Hivi Yanga SC yako hii sasa ilivyo hata Wakiroga mpaka watoe Mikafara kwa Simba SC iliyokamilika unadhani inaweza Kuifunga? Endelea kuota Ndugu ila leo iwe ni dakika 90 au ziada 120 au Mikwaju ya Penati Yanga SC anafungwa. Tunza hii Post yangu na baada ya Saa 1 Usiku tutakutana hapa hapa JamiiForums sawa?