Migingo Island: Uganda's territory

Migingo Island: Uganda's territory

Mo dewji amepatikana?

Atapatikanaje kwa nchi maskini ya watu wasiojulikana wanaoendesha magari yasiyojulikana kwa muda usiojulikana siku isiyojulikana...ilikua hatari sana kwa huyo tajiri kuendesha endesha gari bila ulinzi kwa nchi kama Tanzania. Jameni hadi sasa hivi sijui wanamfanya nini hawa....hadi huruma.
 
yaani billionaire anapotea tu hivyo kanakwamba hakuwahi ishi! **bongomovie continues shortly.
 
Atapatikanaje kwa nchi maskini ya watu wasiojulikana wanaoendesha magari yasiyojulikana kwa muda usiojulikana siku isiyojulikana...ilikua hatari sana kwa huyo tajiri kuendesha endesha gari bila ulinzi kwa nchi kama Tanzania. Jameni hadi sasa hivi sijui wanamfanya nini hawa....hadi huruma.

Tajiri anayeishi nchi masikini.wasi wasi wangu usijesema ni Mkenya.
 
Back
Top Bottom