Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado, vipi yupo Kericho auMo dewji amepatikana?
Mo dewji amepatikana?
Atapatikanaje kwa nchi maskini ya watu wasiojulikana wanaoendesha magari yasiyojulikana kwa muda usiojulikana siku isiyojulikana...ilikua hatari sana kwa huyo tajiri kuendesha endesha gari bila ulinzi kwa nchi kama Tanzania. Jameni hadi sasa hivi sijui wanamfanya nini hawa....hadi huruma.