Hao watu ndio wamiliki wakubwa sio tu wa biashara bali ardhi na nyumba, kwa hivyo sio kwamba ni watu wenye dhuluma, bali kwasababu ardhi, nyumba na biashara ndio maeneo yao. Unaweza kuona kwamba migogoro mikubwa kati ya wafugaji na wakulima inahusisha Wasukuma na Wamasai kwasababu ndio eneo lao la biashara. Huwezi kumkuta Mtindiga akiwa na kesi ya kiwanja Dar hata mara moja wao wapo kule Manyara porini hata Arusha mjini hawaijui.Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro.
Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana.
Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha
Ni wezi sanaHao watu ndio wamiliki wakubwa sio tu wa biashara bali ardhi na nyumba, kwa hivyo sio kwamba ni watu wenye dhuluma, bali kwasababu ardhi, nyumba na biashara ndio maeneo yao. Unaweza kuona kwamba migogoro mikubwa kati ya wafugaji na wakulima inahusisha Wasukuma na Wamasai kwasababu ndio eneo lao la biashara. Huwezi kumkuta Mtindiga akiwa na kesi ya kiwanja Dar hata mara moja wao wapo kule Manyara porini hata Arusha mjini hawaijui.
Na ndio maana kwao wenyewe, kwenye mipaka wanaotesha Sale, mmea hatari kwa wavuka mipaka kienyeji.Ukipakana nae mpaka lazima mgombane
Hahaha fly over... hahaha...daraja la busisi.... kwikwii.... chato international airport.Vya dhuluma vitawatokea puani
Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro.
Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana.
Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha