Migogoro mingi ya ardhi inahusisha watu wa mkoa wa Kilimanjaro

Ni kwamba hawo wachaga wamewekeza sana kwenye hayo maeneo ambayo migogoro inatokea, siyo kwamba wanadhulumu, hapana unakuta hiyo jamii imewekeza sana kwenye eneo fulani hivyo katika nyumba kumi huwezi kukosa tatu za wachaga.
 
2023 kiongozi mmoja mchaga alikwapua mlungula kuwazunguka raia walionunua maeneo kisheria na kumpatia PAROKO aliyekuja kuuziwa nyuma ya wanunuzi wa kwanza.

Nae anajifanya ana ndoto za kuwa Rais.
Takataka kabisa.
 
Alex Masawe jamaa yake Papaa Ndama Mutoto ya Ng'ombe naye karudishwa kutoka SA na wale mateja??

Ndiyo zilikuwa mishe zake hizo!!
 
Ni kwamba hawo wachaga wamewekeza sana kwenye hayo maeneo ambayo migogoro inatokea, siyo kwamba wanadhulumu, hapana unakuta hiyo jamii imewekeza sana kwenye eneo fulani hivyo katika nyumba kumi huwezi kukosa tatu za wachaga.
Kwa nini wanawekeza walipojenga watu hadi wawabomolee nyumba zao?
 
2023 kiongozi mmoja mchaga alikwapua mlungula kuwazunguka raia walionunua maeneo kisheria na kumpatia PAROKO aliyekuja kuuziwa nyuma ya wanunuzi wa kwanza.

Nae anajifanya ana ndoto za kuwa Rais.
Takataka kabisa.
Inasikitisha sana
 
Hao watu ndio wamiliki wakubwa sio tu wa biashara bali ardhi na nyumba, kwa hivyo sio kwamba ni watu wenye dhuluma, bali kwasababu ardhi, nyumba na biashara ndio maeneo yao. Unaweza kuona kwamba migogoro mikubwa kati ya wafugaji na wakulima inahusisha Wasukuma na Wamasai kwasababu ndio eneo lao la biashara. Huwezi kumkuta Mtindiga akiwa na kesi ya kiwanja Dar hata mara moja wao wapo kule Manyara porini hata Arusha mjini hawaijui.
Msijifiche kwenye kichaka cha watu wengi wenye umiliki ardhi na majengo ni wachaga sio kwl.,,
Mchaga anapenda sn migogoro ya ardhi,,
ukipakana na mchaga kwenye eneo lako,, kama hujawa makini anafyeka eneo lako lote..na mifano kibao ninayo
 
Wanamtindo wakuharikana Kisha wanakuja kukudhoofisha ukilega wanapita na eneo lako hakikisha kama ww hujasoma wapatie watoto wako Elimu ila yote na yote Ili ulinde eneo lako lazima uwe na ubaya kama wao
 
Hao watu ndio wamiliki wakubwa sio tu wa biashara bali ardhi na nyumba, kwa hivyo sio kwamba ni watu wenye dhuluma, bali kwasababu ardhi, nyumba na biashara ndio maeneo yao. Unaweza kuona kwamba migogoro mikubwa kati ya wafugaji na wakulima inahusisha Wasukuma na Wamasai kwasababu ndio eneo lao la biashara. Huwezi kumkuta Mtindiga akiwa na kesi ya kiwanja Dar hata mara moja wao wapo kule Manyara porini hata Arusha mjini hawaijui.
Very objective response
 
Hata vijana wa singida wale shamba boy wanawafanyia kazi hata miaka miwili ama mitatu Sasa anakuwa anamdai mchaga 2/3M unaambiwa hakimu anahongwa kijana anasingiziwa akaiba utashangaa kijana anakimbia mwenyewe uko uchagani bila kitu. Wao wana hela Sasa wanatumia hizo hela kuwapigia watanganyika
 
Back
Top Bottom