Migogoro mingi ya ardhi inahusisha watu wa mkoa wa Kilimanjaro

Ni kwamba hawo wachaga wamewekeza sana kwenye hayo maeneo ambayo migogoro inatokea, siyo kwamba wanadhulumu, hapana unakuta hiyo jamii imewekeza sana kwenye eneo fulani hivyo katika nyumba kumi huwezi kukosa tatu za wachaga.
 
2023 kiongozi mmoja mchaga alikwapua mlungula kuwazunguka raia walionunua maeneo kisheria na kumpatia PAROKO aliyekuja kuuziwa nyuma ya wanunuzi wa kwanza.

Nae anajifanya ana ndoto za kuwa Rais.
Takataka kabisa.
 
Alex Masawe jamaa yake Papaa Ndama Mutoto ya Ng'ombe naye karudishwa kutoka SA na wale mateja??

Ndiyo zilikuwa mishe zake hizo!!
 
Ni kwamba hawo wachaga wamewekeza sana kwenye hayo maeneo ambayo migogoro inatokea, siyo kwamba wanadhulumu, hapana unakuta hiyo jamii imewekeza sana kwenye eneo fulani hivyo katika nyumba kumi huwezi kukosa tatu za wachaga.
Kwa nini wanawekeza walipojenga watu hadi wawabomolee nyumba zao?
 
2023 kiongozi mmoja mchaga alikwapua mlungula kuwazunguka raia walionunua maeneo kisheria na kumpatia PAROKO aliyekuja kuuziwa nyuma ya wanunuzi wa kwanza.

Nae anajifanya ana ndoto za kuwa Rais.
Takataka kabisa.
Inasikitisha sana
 
Msijifiche kwenye kichaka cha watu wengi wenye umiliki ardhi na majengo ni wachaga sio kwl.,,
Mchaga anapenda sn migogoro ya ardhi,,
ukipakana na mchaga kwenye eneo lako,, kama hujawa makini anafyeka eneo lako lote..na mifano kibao ninayo
 
Wanamtindo wakuharikana Kisha wanakuja kukudhoofisha ukilega wanapita na eneo lako hakikisha kama ww hujasoma wapatie watoto wako Elimu ila yote na yote Ili ulinde eneo lako lazima uwe na ubaya kama wao
 
Very objective response
 
Hata vijana wa singida wale shamba boy wanawafanyia kazi hata miaka miwili ama mitatu Sasa anakuwa anamdai mchaga 2/3M unaambiwa hakimu anahongwa kijana anasingiziwa akaiba utashangaa kijana anakimbia mwenyewe uko uchagani bila kitu. Wao wana hela Sasa wanatumia hizo hela kuwapigia watanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…