Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ma-first born huwa wanapata raha sana kutoka kwa wazazi wao.Mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida
Wakati tumepata first born na Bibi yenu Mwaka 47 nilikuwa namsaidia kumbeba mtoto mgongoni kabisa.
Kumbuka nyakati zetu Zahanati zilikuwa mbali sana na hatukuwa na magari/Uber/bolts/ ama Bajaj useme utaita ikupeleke
Kumbebea Pochi ni sehemu ya mapenzi na kumbebisha mpenzi wako