Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ma-first born huwa wanapata raha sana kutoka kwa wazazi wao.Mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida
Wakati tumepata first born na Bibi yenu Mwaka 47 nilikuwa namsaidia kumbeba mtoto mgongoni kabisa.
Kumbuka nyakati zetu Zahanati zilikuwa mbali sana na hatukuwa na magari/Uber/bolts/ ama Bajaj useme utaita ikupeleke
Kumbebea Pochi ni sehemu ya mapenzi na kumbebisha mpenzi wako
Kwa kweli Mkuu, ni first born halafu ni wa Kiume...Ma-first born huwa wanapata raha sana kutoka kwa wazazi wao.
Kama umeshampa ujauzito, mpe first class service ikiwemo hizo nilizosema.Sasa mkuu, huyu ni mchepuko anataka kunipa majukumu hayo yote 😀
Hapana mie ni mwana-yanga......dakika 5 goli, dakika 13 goliUtavumilia masaa 2 goli moja?
😀😀😀Kama umeshampa ujauzito, mpe first class service ikiwemo hizo nilizosema.
Kingine, mfungulie mlango wa gari akiwa anataka kupanda ama akiwa anashuka.
Hii inaongeza mapenzi, utajikuta hata kama ana mimba ya miezi 8 utakuta anakupea hata kushika Ukuta 😜🏃🏃🏃
Mpaka hapo nafasi bado iko wazi 😀Hapana mie ni mwanayanga......dakika 5 goli, dakika 13 goli
Ndiyo maana Wazee tulisema"Ukipenda boga penda na ua lake"🤗
Lipia tangazo
Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile. Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo. Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile. Sasa ananipangia siku za kufanya tendo Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila kumaliza mchezo. Nilitamani nimuache, ila nahisi ni kutokana na hali ya ujauzito alionao; ila uzalendo ukinishinda, napiga chini wakuu.
Kuna wakati nikitembea najikuta naongea mwenyewe 😀
Tangazo la migogoro au?Lipia tangazo
You know the worst dharau ni kupangiwanratiba ya tendo. Ukiona imefika hapo ,amka simama kama mwanaume, piga hata kofi. Else atajiona mtawala, then dharau zitaongezeka kupelekea penzi kuisha