pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Baada ya aliyekuwa mkuu wa mkoa Dar kuitisha, watu wenye matatuzo ya kisheria ili watatuliwe Kero zao, majibu yalitoka kuwa kero nyingi ni za ardhi ambazo zilikuwa zinasababishwa na mabaraza ya ardhi.
RC wa Dar kipindi hicho alifanya Maamuzi magumu kuyafuta mabaraza ya Ardhi na kwa kweli imesaidia sana kupunguza migogoro ya ardhi kama umewahi kuoata changamoto kisheria kuhusu masuala ya ardhi, naamini utaelewa jinsi Hawa wajumbe wa mabaraza ya ardhi wanavyo fanya migogoro kuwa endelevu.
Wenyewe ndio wanaouza maeneo mara kumi kumi kisha kesi wanapelekewa wao wenyewe kutatua Mh Lukuvi fikiria kuyaondoa mabaraza haya kwa nchi nzima, kwani wanaongeza migogoro