migogoro ya ardhi

Marius Mwijage

New Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
1
Reaction score
0
hivi ni jambo la busara mwekezaji kutoka nje kuwa na sauti ndani ya nchi yetu na kushiriki katika kuwakandamiza wananchi (wazawa). je serikali iko wapi juu ya suala hili na je kati ya mwananchi mzawa wa TANZANIA na mgeni (mwekezaji) ni yupi anafaaa kupewa kipaumbere na kulindwa zaidi maana wawekezaji wamekuwa na sauti na kuzidi kujirimbikizia ardhi huku wananchi wakinyaganywa ardhi na huku wawekezaji wakifunga vyanzo vya maji. Je wananchi wataishi VIPI?
 
Si mlimtuma RAIS wenu akawabembeleze waje wawekeze???
Mkiwazingu wanasepa...na MTAKUFA NA NJAA.........
 
Jambo la kushangaza wananchi wanaonyanyasika na hiyo migogoro ndo mashabiki wakubwa wa CCM. Mtu unashindwa kujua utawasaidiaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…