Marius Mwijage
New Member
- Jan 22, 2013
- 1
- 0
hivi ni jambo la busara mwekezaji kutoka nje kuwa na sauti ndani ya nchi yetu na kushiriki katika kuwakandamiza wananchi (wazawa). je serikali iko wapi juu ya suala hili na je kati ya mwananchi mzawa wa TANZANIA na mgeni (mwekezaji) ni yupi anafaaa kupewa kipaumbere na kulindwa zaidi maana wawekezaji wamekuwa na sauti na kuzidi kujirimbikizia ardhi huku wananchi wakinyaganywa ardhi na huku wawekezaji wakifunga vyanzo vya maji. Je wananchi wataishi VIPI?