F fortune lucas Member Joined Jul 28, 2011 Posts 10 Reaction score 4 Sep 25, 2015 #1 Naomba kuuliza migogoro ya ardhi kwa mujibu wa sheria anaeitatua ni nani Mahakama za ardhi za kata na Wilaya au Waziri wa ardhi?
Naomba kuuliza migogoro ya ardhi kwa mujibu wa sheria anaeitatua ni nani Mahakama za ardhi za kata na Wilaya au Waziri wa ardhi?
M mchotamaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 219 Reaction score 66 Sep 25, 2015 #2 CCM fisadi ndio mtatuzi
M mchotamaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 219 Reaction score 66 Sep 26, 2015 #3 Mkuu mbona umejibiwa? Ni mahakama
Boyabone Member Joined Sep 21, 2015 Posts 20 Reaction score 1 Sep 27, 2015 #4 Migogoro hiyo siku hizi ina mahakama zake. Mabaraza ya ardhi ya kata na mkoani tu baraza la ardhi la rufaa basi.
Migogoro hiyo siku hizi ina mahakama zake. Mabaraza ya ardhi ya kata na mkoani tu baraza la ardhi la rufaa basi.