Migogoro ya ardhi

Migogoro ya ardhi

fortune lucas

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
10
Reaction score
4
Naomba kuuliza migogoro ya ardhi kwa mujibu wa sheria anaeitatua ni nani Mahakama za ardhi za kata na Wilaya au Waziri wa ardhi?
 
Migogoro hiyo siku hizi ina mahakama zake. Mabaraza ya ardhi ya kata na mkoani tu baraza la ardhi la rufaa basi.
 
Back
Top Bottom