Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanetu umeshawahi kufika Kijichi?Nimrzaliwa dar ila wilaya ya temeke najua uwanja wa mkapa na sabasaba,the rest to hell kule sio kwa kuishi binadamu anayejitambua
Atafikaje wakati kichwa chake kilishaingia sumuMwanetu umeshawahi kufika Kijichi?
Mtoto ana kufuru huyu. Shenzi zake.Atafikaje wakati kichwa chake kilishaingia sumu
Kijichi anaishi mtu gani mwenye influence hapw nchini,napajua ila ni kasehemu kadogo sana ndwni ya wilaya ya temeke,na ili kupafikia lazima upitie ushenzini,siwezi kuishi wilaya ya temeke,bora nikae kibahaMwanetu umeshawahi kufika Kijichi?
Makamu wa Rais anaishi Homboza Chanika, unapajua?Kijichi anaishi mtu gani mwenye influence hapw nchini,napajua ila ni kasehemu kadogo sana ndwni ya wilaya ya temeke,na ili kupafikia lazima upitie ushenzini,siwezi kuishi wilaya ya temeke,bora nikae kibaha
KabisaNdio hivyo
Chanika iko ilala jimbo la segerea,hiyo nyumba ya majaliwa hawezi kuishi kwa sasa labda enzi za zamaniMakamu wa Rais anaishi Homboza Chanika, unapajua?
Majaliwa ana nyumba Toangoma Temeke unapajua?
Halafu niambie, wenye ushawishi wanaishi wapi hapa nchini?
Kin'goko ishakufa now ilikuwa mikocheni A karibu na shule ya msingi'King Oko' ni kundi la msanii Babu wa Kitaa sio pande Ila masikani yao nahisi itakua km sio Kinondoni basi Mikocheni ni km ilivyo kwa Chid Benz na La Familia ya Ilala Boma
Bro punguza bangi, soma tena nilichoandika. Chanika jimbo la Segerea tangu lini?Chanika iko ilala jimbo la segerea,hiyo nyumba ya majaliwa hawezi kuishi kwa sasa labda enzi za zamani
We ndio bangi,chanika ni ilala sio temeke,unabishana na wazee wa mji,PM hawezi kuishi temekeBro punguza bangi, soma tena nilichoandika. Chanika jimbo la Segerea tangu lini?
By the way bado anaishi na huwa anakwenda.
Wewe ivi unapajua dar kweli au unakurupukaMigomigo ni hapo Magomeni Mikumi ukishapita Magomeni Kagera inakaribiana na Magomeni Usalama
migomigo ni jina la magomeniKwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni.
Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
Migomigo ni hapo Magomeni Mikumi ukishapita Magomeni Kagera inakaribiana na Magomeni