Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
...well,hii hii kitu ya kudai serikali lazima itoe 100% nafikiri ni kukosa kufikiria vizuri,yaani kwa nini mtu wa elimu ya juu asomeshwe kwa 100%,nafikiri hiyo haki ya 100% iishie secondary school lakini mpaka college?kwa nchi maskini kama Tanzania ni kujidanganya tuu na haitawezekana..lazima wengine wajisomeshe sio kudai bure tuu,acha maskini wasiojiweza ambao wana akili wapate hiyo 100% lakini nina uhakika wengi wana uwezo wa kuchangia kidogo na lazima wachangie,JK naye lazima awe mkweli sio ubabaishaji tuu either wape 100% na kata idadi ya wanafunzi au wape only tuition & fees,books,fees then board & meal wajijue kuliko kufunga vyuo na poor education ya kujaza madarasa kupita uwezo bila vitabu!
Koba:
Ningewaomba vijana wa Tanzania wasome kitabu cha Boker T. Washington na cha Kwame Nkrumah na waone ni jinsi gani elimu inavyotafutwa.
Hizi elimu za 100% zinatulemaza sana. Na vilevile madarasa bado hajajaa. Tuna matatizo ya Resources optimization. Nchi ina chuo cha maji, Ardhi, biashara, usafirishaji na takataka kibao. Na wanafunzi wa vyuo vyote hivyo wanataka kwenda university au kuwa na degree. Kwanini tusiwe na university system moja tu.