Migomo Vyuo Vikuu Tanzania...

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Nimeanza ona harufu ya migomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote..vijana wa vyuo vikuu neno haki limeandikwa mara 372 kwenye biblia pia hata quran tukufu inaongelea hili neno haki....itakuwa ni aibu iliyoje mkipita vyuo vikuu pasipo kupigania haki....muda huu ndo wa kuprove kuwa ninyi ni think tank of our nation..pasipo kujali uvyama mana vyama vyote vimetuingiza hapa..wamejiongezea posho wakati ninyi hamjapata boom....unganeni vyuo vyote muanze harakati za kuleta ukombozi wa Tanzania´...mapinduzi yalifanywa na watu waliokuwa wakinyanyaswa ni wakati wenu kuandika historia yenu...it is ur time to write ur history...kumbukeni ya kuwa "The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall".



"Whenever death may surprise us, let it be
welcome if our battle cry has reached even one
receptive ear and another hand reaches out to
take up our arms".
 
Ambao hawajapata wamekuckia,mi hapa UDOM nabadilisha chakula kila mara
 
Ambao hawajapata wamekuckia,mi hapa UDOM nabadilisha chakula kila mara

Wanafunzi wa UDOM hamuwezi mambo za kudai haki,hata mkinyimwa haki zenu! Hamna historia hiyo,,kidogo kidogo sana!!
 
Mnapoambiwa msome UDSM mnajifanya wabishi.. mtapga pasi ndefu mpaka mkome.. mgomo huanzia Mlimani ndio vyuo vngne vnafuata na kwa kugundua hilo HESLB wakawaisha mapemaa boom kwa wanachuo wa UDSM ili kukwepa mgomo! Poleni sana kwa kweli
 
Udsm wameshapewa boom tayari week ya tatu hao wengne walizoea Ud wagome wenzao wafukuzwe chuo boom lipande wakawa hawagomi imekula kwao tayari waamuke mana chuon kulikuwa kuwa na mgomo jumatatu jumapil sa mbili waka bandka majna ya kusaini sasa iv hawana shda hvo vyuo vingne mukitulia lazma muumie tu
 
Mnapoambiwa msome UDSM mnajifanya wabishi.. mtapga pasi ndefu mpaka mkome.. mgomo huanzia Mlimani ndio vyuo vngne vnafuata na kwa kugundua hilo HESLB wakawaisha mapemaa boom kwa wanachuo wa UDSM ili kukwepa mgomo! Poleni sana kwa kweli

teh teh teh absolutely true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…