NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Nimeanza ona harufu ya migomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote..vijana wa vyuo vikuu neno haki limeandikwa mara 372 kwenye biblia pia hata quran tukufu inaongelea hili neno haki....itakuwa ni aibu iliyoje mkipita vyuo vikuu pasipo kupigania haki....muda huu ndo wa kuprove kuwa ninyi ni think tank of our nation..pasipo kujali uvyama mana vyama vyote vimetuingiza hapa..wamejiongezea posho wakati ninyi hamjapata boom....unganeni vyuo vyote muanze harakati za kuleta ukombozi wa Tanzania´...mapinduzi yalifanywa na watu waliokuwa wakinyanyaswa ni wakati wenu kuandika historia yenu...it is ur time to write ur history...kumbukeni ya kuwa "The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall".
"Whenever death may surprise us, let it be
welcome if our battle cry has reached even one
receptive ear and another hand reaches out to
take up our arms".
"Whenever death may surprise us, let it be
welcome if our battle cry has reached even one
receptive ear and another hand reaches out to
take up our arms".