Migomo vyuo vya elimu ya juu.

Joined
Apr 3, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Migomo iliyokithiri vyuoni ni kukua kwa ulewa wa haki?,ujasiri wa kuzidai?,au ni kukithiri kwa uonevu kwa wanachuo na kutothaminiwa kwa haki zao?Lakini tujiulize pia vyuo visivyokuwa na rekodi za migomo kama vile MZUMBE,SUZA,BUGANDO,ZIFA,TUNGUU-ZU nk... je wanachuo hao hawajui haki zao? Hawana uelewa wa kutumia migomo na maandamano kama njia ya kudai haki zao au wanamaliza vipi madai na malalamiko yao?.AU NIDHAMU ZAO ZIKO JUU SAMBAMBA NA NIDHAMU ZA WOGA.Tujadili kwa pamoja.
 
Migomo iliyokithiri vyuoni ni kukua kwa ulewa wa haki?,ujasiri wa kuzidai?,au ni kukithiru kwa uonevu kwa wanachuo na kutothaminiwa kwa haki zao?Lakini tujiulize pia vyuo visivyokuwa na rekodi za migomo kama vile MZUMBE,SUZA,BUGANDO,ZIFA,TUNGUU nk... je wanachuo hao hawajui haki zao? Hawana uelewa wa kutumia migomo na maandamano kama njia ya kudai haki zao au wanamaliza vipi madai na malalamiko yao?.AU NIDHAMU ZAO ZIKO JUU SAMBAMBA NA NIDHAMU ZA WOGA.Tujadili kwa pamoja.
 
Chadema hawana matawi kwenye hivyo vyuo ndo man hali ni tulivu na matatizo yanatatuliwa kwa mazungumzo sio fujo, ndio mana hata siku za karibuni migomo na fujo zimepungua sana baada ya kudhibiti hizi saccos za kisiasa kuendelea na utapeli wao kwa jina la siasa!
 
migomo vyuon kwa asilimia kubwa husababishwa na mikopo japokuwa cyo yote lkn kwa chuo kama mzumbe ambacho mm binafs nakielewa asilimia kubwa ya wanafunz wanajripia ikiwa pamoja na kuwa weng wao wapo in servc so migomo hutokea lkn kwa kiwango kidogo sana
 

kuna SUZA NA SUA (SUZA=STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR) $ (SUA=SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE)

"University is place where people's minds are trained for clear and independent thinking" Nyerere
 

Kwa sasa hakuna migomo vyuoni. Wewe unataka kuleta chokochoko za nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…