Jurisupridence
Member
- Apr 3, 2013
- 24
- 1
Migomo iliyokithiri vyuoni ni kukua kwa ulewa wa haki?,ujasiri wa kuzidai?,au ni kukithiri kwa uonevu kwa wanachuo na kutothaminiwa kwa haki zao?Lakini tujiulize pia vyuo visivyokuwa na rekodi za migomo kama vile MZUMBE,SUZA,BUGANDO,ZIFA,TUNGUU-ZU nk... je wanachuo hao hawajui haki zao? Hawana uelewa wa kutumia migomo na maandamano kama njia ya kudai haki zao au wanamaliza vipi madai na malalamiko yao?.AU NIDHAMU ZAO ZIKO JUU SAMBAMBA NA NIDHAMU ZA WOGA.Tujadili kwa pamoja.