Migomo ya daladala, Bajaji haziibi wateja ila ni daladala kutumia muda mrefu kujaza abiria, Bajaji inatumia dakika 20 tu, Daladala saa zima

Migomo ya daladala, Bajaji haziibi wateja ila ni daladala kutumia muda mrefu kujaza abiria, Bajaji inatumia dakika 20 tu, Daladala saa zima

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
 
Back
Top Bottom