Migoo ya wazabuni na brn

Migoo ya wazabuni na brn

Rhycko

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Wakati wananchi tukiwa tunashuhudia sera za serikali za matokeo makubwa sasa! {BIG RESULTS NOW} wanafunzi wa shule za bodi wamekua wakipata chakula kwa kusuasua kutokana na migomo ya wazabuni wa vyakula shuleni. kwa hali hii sijui hayo matokeo makubwa yatatoka wapi? ni sawa na ile slogan ya kilimo kwanza then hakuna hata kijiji kimoja kilichopatiwa trekta la kilimo kwanza!!!
au ndio tuiite hii ni SIRIKALI ya Tz? sijui wadau nyinyi mnalionaje hili?.......
 
Back
Top Bottom