rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee baada ya kifo cha TAKE OFF sijui kama kundi litaendelea kuhit..kifo cha jamaa kimetikisa sana yani bado najiuliza why niggaz wanauana sana huko USA?? ukisikiliza album kama CULTURE III ndo utajua migos ni mafundi sana yani flow zimekaa mahala pake. Hadi sasa sijaona kundi lenye ngoma kali kwa hip hop kama migos anyway REST IN PEACE TAKE OFF.