Miguel afunga ndoa na demu wake wa kitambo (picha 10)

Miguel afunga ndoa na demu wake wa kitambo (picha 10)

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
2-58-1024x682.jpg



MWANAMUZIKI Miguel Jontel Pimentel (33) kutoka San Pedro amefunga pingu za maisha na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Nazanin Mandi, toka California Santa Susan (32), California, Jumamosi Novemba 24, mwaka huu.

3-51-1024x683.jpg


Kupitia akaunti zao za instagram, wawili hao waliwatangazia rasmi mashabiki tukio hilo ambapo kwa upande wa msanii huyo wa Miguel aliandika, “Kumbukumbu zisizosahaulika timeshare na familia pamoja na marafiki wa karibu. Shukrani kwa kila mtu ambaye ameifanya siku yetu kutosahaulika. Tunawapenda wote”.

4-43-1024x683.jpg


Miguel na mpenzi wake Nazanin walijuana toka walipokuwa na umri wa miaka 18, walianza ku-date pamoja mwaka 2005 na walivishana pete za uchumba Januari 2016.

5-43-1024x683.jpg




6-37-1024x788.jpg




7-35-1024x788.jpg




8-35-1024x788.jpg




9-26.jpg




10-24.jpg




11-26.jpg

Staa huyo aliwahi kutamba na kibao cha ADORN na SKYWALKER akimshirikisha Travis Scott ambazo ziliwahi kushika chati za juu za Billboard
 
Huyo mwanamke ana umri mkubwa sana, siyo miaka 32 tu, ni zaidi.


Sema wameona asimzidi mume wake, Akawa "Kiben Ten"
 
Ka amber rutty kake kadogo wala simtamani..
 
Hongera zao!
Wamechunguzana mpaka basi, natumaini ndoa yao itadumu sana
 
Wewe ndio mkunga uliyemzalisha mama yake au una hatimiliki ya vyeti vyake vya kuzaliwa
Mchane laivu mzee baba halafu huyu ni dume anatumia ID ya kike.



Ila ngoma yako uliyomshirikisha Anne Marie ya FRIENDS naikubali sana mwanangu
 
Back
Top Bottom