Miguna Miguna, 'Le General', atangaza kurejea Kenya, Rais Uhuru amhakikishia kuwa yupo huru kurudi nchini

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Huyu jamaa huwa ananikosha sana, sio kwa ujeuri wake huu. Ila jamaa mwenyewe ni 'very brilliant', na ni 'alumni' mwenzangu na alikuwa kiongozi pia, ndani ya SONU, kwenye 'alma mater' yangu The UoN. Mwezi uliopita nilimaliza kusoma kitabu chake cha pili, Kidneys For The King, ambacho alikiandika alipokuwa 'senior adviser' wa RAO. Alimponda kweli kweli swahiba wake wa zamani Raila Odinga na akafichua 'siri' nyingi za kisiasa ndani ya serikali ya muungano, GNU. Hakuna aliyesazwa kwenye kitabu hicho, ambacho alikibatiza 'Book of Revelations', kutoka kwa rais mstaafu Mwai Kibaki hadi CJ wa enzi hizo Willy Mutunga. Ukisoma vitabu vyake, kando na ujeuri wake wa kawaida, utaelewa kwamba Miguna Miguna sio mnafik na huwa anaamini anachokihubiri. Anyway, welcome back Mr. Am not boarding this plane! Long live democracy! Rais Uhuru akimuhakikishia Miguna Miguna kwamba ni haki yake kurejea na kwamba haki yake ya kujieleza italindwa pia.
 
he is too stubborn to get his documents in order. So if he is coming, he will come as a Canadian citizen.
He is more stubborn than that. He is requesting, no, demanding that the authorities issue him with his Kenyan passport. Though I personally think it is his right and he has Chacha Mwita's ruling to back up his demand. The govt. bureaucrats should just respect the president's stand on the matter. Furthermore, he is travelling to Kenya to mourn and bury his father-in-law, no need for any drama from both parties.
 
He is more stubborn than that. He is requesting, no, demanding that the authorities issue him with his Kenyan passport. Though I personally think it his right and he has Chacha Mwita's ruling to back up his demand. The govt. bureaucrats should just respect the president's stand on the matter. Furthermore, he is in travelling to Kenya to mourn and bury his father-in-law, no need for any drama from both parties.
How do u know he is requesting and not demanding, leta kauli yake tujudge wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How do u know he is requesting and not demanding, leta kauli yake tujudge wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
Lazybone. Unataka ku'judge' mwenyewe ila hutaki kufata 'conversation' yake wewe mwenyewe? Tayari ipo hapo kwenye tweet ambayo nimeiweka kwenye taarifa, we vipi bana. Haya ndio hii hapa. Kuna lingine, au unataka pia nikueleze ni aya na sentensi ya ngapi?
 
Lakini kama jamaa atarudi bila kutimiza masharti ya vibali, basi serikali hii itakua imedhihirisha unafiki mkubwa, maana walimuondolea nje nje kwa kukiuka sheria za uhamiaji, alipoukana uraia wa Kenya miaka ile alipokua anaomba uraia wa Canada, na sasa amekua akiagizwa aombe uraia pacha ili kuweka sawa stakabadhi zake, hili aliombwa hadi na Raila mwenyewe, jamaa akawa mkaidi mpaka mwisho.

- Ni mzawa wa Kenya
- Mababu zake wamezikwa Kenya
- Lakini wakati anaomba uraia wa Canada, kipindi hicho Kenya haikua na mfumo wa uraia pacha
- Hivyo jamaa alilazimika kuukana uraia wa Kenya
- Alizamia kinyemela Kenya na kupata paspoti ya kughushi
- Serikali hii ililijua hilo na wakawa wanalifumbia macho (unafiki)
- Hadi pale alizinguana na utawala wa sasa ndio wakalifanyia kazi kwa kumtolea nje

Leo hii hao hao wanampokea bila ya kuweka sawa stakabadhi zake.
Inafaa aombe uraia kisha apokelewe rasmi.
 
Lakini kama jamaa atarudi bila kutimiza masharti ya vibali, basi serikali hii itakua imedhihirisha unafiki mkubwa, maana walimuondolea nje nje kwa kukiuka sheria za uhamiaji, alipoukana uraia wa Kenya miaka ile alipokua anaomba uraia wa Canada, na sasa amekua akiagizwa aombe uraia pacha ili kuweka sawa stakabadhi zake, hili aliombwa hadi na Raila mwenyewe.
- Ni mzawa wa Kenya
- Mababu zake wamezikwa Kenya
- Lakini wakati anaomba uraia wa Canada, kipindi hicho Kenya haikua na mfumo wa uraia pacha
- Hivyo jamaa alilazimika kuukana uraia wa Kenya
- Alizamia kinyemela Kenya na kupata paspoti ya kughushi
- Serikali hii ililijua hilo na wakawa wanalifumbia macho (unafiki).
Inafaa aombe uraia kisha apokelewe rasmi.
Ni mjeuri kweli, ila anayo pasipoti ya Canada, ambayo inamkubalia kuingia nchini Kenya, 'Visa on Arrival'. Hoja yangu ni kwamba uraia wake sio kisingizio cha kumzuia kuingia Kenya. Alafu kuna ile order ya hakimu Chacha Mwita.
 
Tatizo yeye hataki kuingia kama raia wa Canada kama anavyohitajika kisheria, hata ubalozi wa Canada ulijaribu kumshawishi alegeze msimamo na kuzingatia misingi ya kisheria, akawakaidi na hao pia.
Suala lote hili lina uvundo balaa, maana kwa upande mwingine pia kuna hilo agizo la mahakama linalomkubalia kuishi Kenya, sema serikali kwa unafiki wakawa wababe, inapaswa aibuke mtu na kuishtaki serikali kwa hili.
Miguna na serikali wanafaa kuelewana kimya kimya jinsi ya kurekebisha bila ukiukwaji wa sheria, aombe na kupewa uraia upya, aje tumpokee.
 
Miguna na serikali wanafaa kimya jinsi ya kurekebisha bila ukiukwaji wa sheria, aombe na kupewa uraia upya, aje tumpokee.
Kweli kabisa, Miguna Miguna na serikali wanafaa waelewane, bila fujo. Ila umeona mbwembwe za Miguna, wakati hata siku ya safari haijawadia? Sidhani serikali ina uzoefu wa kunyenyekea, tena mbele ya raia mmoja. Miguna asije akashuka kwa ndege alafu arudie ule upuuzi wake alioufanya hapo awali, wa kuiambia serikali come baby, come. Maanake serikali nayo kwa ubabe wake itamlazimisha arudie kile kilio chake, 'am not boarding'! 😀
 
Tatizo yeye hataki kuingia kama raia wa Canada kama anavyohitajika kisheria, hata ubalozi wa Canada ulijaribu kumshawishi alegeze msimamo na kuzingatia misingi ya kisheria, akawakaidi na hao pia.
Suala lote hili lina uvundo balaa, maana kwa upande mwingine pia kuna hilo agizo la mahakama linalomkubalia kuishi Kenya, sema serikali kwa unafiki wakawa wababe, inapaswa aibuke mtu na kuishtaki serikali kwa hili.
Miguna na serikali wanafaa kuelewana kimya kimya jinsi ya kurekebisha bila ukiukwaji wa sheria, aombe na kupewa uraia upya, aje tumpokee.
You either follow the law or you dont.... there's no middle groung (kuelewana) as you put it.
Now correct me if am wrong, but wasn't his case brought before a judge and all that you are talking about kuukana uraia wa kenya heard by the judge and in his interpretation of your constitution ruled that Miguna rights were violeted and he be given back his documents and the government facilite his return as a citizen.
How then is it that someone can suggest he uses canadian documents? Are you overturning the courts.
Alafu hapo kwenye ubalozi wa canada kumshawishini kahawa au kweli ilitokea?!
 
Lazybone. Unataka ku'judge' mwenyewe ila hutaki kufata 'conversation' yake wewe mwenyewe? Tayari ipo hapo kwenye tweet ambayo nimeiweka kwenye taarifa, we vipi bana. Haya ndio hii hapa. Kuna lingine, au unataka pia nikueleze ni aya na sentensi ya ngapi?
Hivi we jamaa ni fara kiasi gani. Hiyo tweet naona court ordered, return/ issue my passport. I don't see any requesting language there.
Lazybone your ass, show me where he requested fool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You either follow the law or you dont.... there's no middle groung (kuelewana) as you put it.
Now correct me if am wrong, but wasn't his case brought before a judge and all that you are talking about kuukana uraia wa kenya heard by the judge and in his interpretation of your constitution ruled that Miguna rights were violeted and he be given back his documents and the government facilite his return as a citizen.
How then is it that someone can suggest he uses canadian documents? Are you overturning the courts.
Alafu hapo kwenye ubalozi wa canada kumshawishini kahawa au kweli ilitokea?!

Some political situation are handled politically, world over a time comes when certain realities are dealt with by using unconventional means. Just like the recent bombing of Iran's military general by USA, they violated every rule in the book by all means, yet they will still claim to be the most democratic and fair society.
This Miguna saga....the whole thing stinks to the core, government acted erroneously in every way when handling it, court had ruled decisively on the matter.
 
Hivi we jamaa ni fara kiasi gani. Hiyo tweet naona court ordered, return/ issue my passport. I don't see any requesting language there.
Lazybone your ass, show me where he requested fool Sent using Jamii Forums mobile app
He is not requesting, ana'demand' kama nilivosema kutoka mwanzo. Mbona umechanganyikiwa, hujui kusoma? Move on, acha umwere. Alafu ni fala sio fara. Jifunze kuandika hilo jina lako la pili.
 
Huyu jamaa huwa ananikosha sana, sio kwa ujeuri wake huu. Ila jamaa mwenyewe ni 'very brilliant', na ni 'alumni' mwenzangu na alikuwa kiongozi pia, ndani ya SONU, kwenye 'alma mater' yangu The UoN. Mwezi uliopita nilimaliza kusoma kitabu chake cha pili, Kidneys For The King, ambacho alikiandika alipokuwa 'senior adviser' wa RAO. Alimponda kweli kweli swahiba wake wa zamani Raila Odinga na akafichua 'siri' nyingi za kisiasa ndani ya serikali ya muungano, GNU. Hakuna aliyesazwa kwenye kitabu hicho, ambacho alikibatiza 'Book of Revelations', kutoka kwa rais mstaafu Mwai Kibaki hadi CJ wa enzi hizo Willy Mutunga. Ukisoma vitabu vyake, kando na ujeuri wake wa kawaida, utaelewa kwamba Miguna Miguna sio mnafik na huwa anaamini anachokihubiri. Anyway, welcome back Mr. Am not boarding this plane! Long live democracy! Rais Uhuru akimuhakikishia Miguna Miguna kwamba ni haki yake kurejea na kwamba haki yake ya kujieleza italindwa pia.

Stupid Kenyata, wee ndiye unatoa uraia wa mtu au unatolewa na katiba na sheria. ndio udikiteita wa mihuni hii ya kiafrika eti ni Rais! Rubbish!
 
miguna cannot demand other people obey court orders while he chooses the court orders to obey. When he was swearing in baba, wasn't he disobeying the supreme court?
***chacha mwita is not a credible judge, hopefully the Akasha cases in the US will smoke him out.
 
There must be something blinding you. If you dont mind could you Clarify a few things....
1. Start with the cort order he chose not to obey. Which one was that?
2. During the swearing in, Which law did he break? Coz what we know here is that they chose their wordings carefully so technically they broke no law n thats why they couldn't be charged with treason.
3. How did the judge miss interpret the constitution? And If he was compromised as you say, why didn't the govt appeal?
 
Back
Top Bottom