Miguna Miguna, 'Le General', atangaza kurejea Kenya, Rais Uhuru amhakikishia kuwa yupo huru kurudi nchini

Stupid Kenyata, wee ndiye unatoa uraia wa mtu au unatolewa na katiba na sheria. ndio udikiteita wa mihuni hii ya kiafrika eti ni Rais! Rubbish!
Yea, Rais Uhuru ni dikteta. Hahaha! 😀 Ndio maana wote ambao walihusika kwenye shughuli ya Raila kujiapisha kama rais(kosa la jinai), wapo hai na hawajatekwa na wasiojulika. Huo ni uhuni uliopitiliza!
 
Yea, Rais Uhuru ni dikteta. Hahaha! 😀 Ndio maana wote ambao walihusika kwenye shughuli ya Raila kujiapisha kama rais(kosa la jinai), wapo hai na hawajatekwa na wasiojulika. Huo ni uhuni uliopitiliza!
Ujue hapo kulikuwa na law technicalities... Raila hakuapishwa kama Rais wa Jamhuri ya Kenya, but Rais wa wananchi... utamshitaki kwa lipi? Rais wa Gor mahia , Rais wa wananchi.. Rais wa wakulima ,
 
Nimevisoma "Peeling Off the Mask" na "Kidneys for The King" nikatamani sana Tanzania na sisi tuwe na expose bios kama hizi.

The guy is fascinating.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ameona ile clip ya Troy ambayo miguna anaitwa aje kupigana na Achilles


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ujue hapo kulikuwa na law technicalities... Raila hakuapishwa kama Rais wa Jamhuri ya Kenya, but Rais wa wananchi... utamshitaki kwa lipi? Rais wa Gor mahia , Rais wa wananchi.. Rais wa wakulima ,
Ni katiba ipi hiyo ambayo inasema kwamba rais wa jamhuri sio rais wa wananchi? Sio katiba ya Kenya.
 
my disdain for hypocrisy is blinding me, the supreme court ruled/ordered Uhuru to be the elected president. So what was miguna doing refusing to acknowledge that? If you followed the passport saga, then u chose to be blind to chacha's biases. eg how do u order someone who isnt in ur jurisdiction to be produced in court?
 
my disdain for hypocrisy is blinding me, the supreme court ruled/ordered Uhuru to be the elected president.
was there such a rulling? Its not achallenge, am genuinely asking
If you followed the passport saga, then u chose to be blind to chacha's biases. eg how do u order someone who isnt in ur jurisdiction to be produced in court?
ridiculous, yes.
Bias, mmm... not so sure
But i kinda get the judge's drift. If Miguna Miguna was kidnapped and taken out of the country, he could as well be kidnapped and brought before him.
practical? definitely not.
 
Nimevisoma "Peeling Off the Mask" na "Kidneys for The King" nikatamani sana Tanzania na sisi tuwe na expose bios kama hizi.The guy is fascinating.
Sent using Jamii Forums mobile app
Expose kama za Miguna Miguna huwa hazipendwi na wanasiasa. Wanasiasa ni wanafik na wengi wao huwa wana 'image' flani hivi ambayo huwa wanaonesha hadharani. Ila kiualisia mienendo yao huwa ni 'shady' mno. Kuwaumbua inahitaji ujasiri mkubwa na mtu ambaye anaweza akapenyeza kwenye 'ranks' na 'circles' zao .
 
His Excellent Hon.President Uhuru is right,Uhuru bila kujali maisha ya watu ni wendawazimu.
Let them talk,but their freedom to talk in not a justification to make Kenyans to suffer more and more.
 
Drama baada ya drama. Lufthansa Air wamemkataza Miguna Miguna kuabiri ndege zao wakisema kwamba kuna red alert ambayo imetolewa dhidi yake. Msemaji wa serikali Col. Odiambo Oguna asema kwamba hana habari kuhusu hayo na kwamba wao wataheshimu maagizo ya mahakama na request ya rais Uhuru kwamba Miguna asizuiwe kuingia nchini.
 
Serikali yenu ime ignore mahakama, simple like that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…