upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Miguna mtata sana huyu mtu na utata wake amekua nao na sasa anazeeka nao na probably atakufa nao.
Viva Miguna.
Viva Miguna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujitambui weweNatamani tumpandishe kwa nguvu huyu mzee wa Chato tumrudishe Rwanda tubaki na nchi yetu
Nimeishia kucheka tuwewe si njaa.. mtu ambaye anaifanya emirates izuiliwe kupaa kumsubiri yeye.. na hata nauli hajalipa ila ndege inamuogopa......unafikiri mwenzako.. mtu serikali inamuogopa sio mwenzako
Mkuu nimeshangaa sana kumuona mtu aliyekua anajiita General akinyanyuliwa hovyo hovyo na police huku yeye akijaribu kumkimbilia baba'Odinga' ili amuokoe,hahahHuyu jamaa kwa kweli wanachomfanyia sio haki kabisa, tatizo lake kubwa ni hilo limdomo lake, anatukana serikali muda wote hata wakati yupo angani anakuja Kenya, alikua kila akipata fursa ya kuongea lazima akashifu. Alifaa kutumia akili atulie hadi aingie ndani ya nchi, atumie muda huu ambapo Raila na Uhuru wamesalimiana kuisanii, sasa hata huko kusalimiana ametukana pia.
Nadhani anachokifanya ni kutafuta umaarufu, yaani aendelee kuangazwa kwenye vyombo vya habari, hivyo anatukana ili azuiwe.
Hahah umeona na utata wake alivyonyanyuliwa juu akawa anataka kukimbilia kwa baba "odinga" hahah hapo ndo nimemuona jamaa huyo General ni fala tuMiguna mtata sana huyu mtu na utata wake amekua nao na sasa anazeeka nao na probably atakufa nao.
Viva Miguna.
Teh teh ila General mwenyewe fala tu kadakwa juu juu huku anamkimbilia baba"Odinga" hahahila kuna wazee watata duniani... mzee msumbufu kama nini... nauli hajalipa ila hadi uhamiani ya kenya inafosi emirates isiruhusiwe kupaa bila kuondoka na miguna...
Wkt majuzi alikua anawaomba Wakenya wamchangie,mpk wakenya wakawa wanazingua hatari huko fb&tweeter.Jamaa ana hela, hana njaa kama wewe
Scuffle erupts at JKIA as Raila attempts to rescue Miguna Miguna
Hili linahoji pia kwa namna fulani suala la uraia wa nchi mbili... faida na hasara zake..
You hit the bulls eye! RAO made a deal for his friend, James Bond. His cases were dropped. Miguna Miguna was left out in the cold while infact he has no case to answer. Poor bastard.I think it was stage managed...Raila and Orengo were present and it still happened? Feels like RAO could have been in on it...Am just speculating....The royal “handshake” came with conditions and MM was no part of it...MM was against the handshake...If one was RAO what would one do? This is my conclusion which could be right or wrong..RAO has been known to betray people...Ask one WSR...Am beginning to feel MM is a political headache to some power brokers..
tatizo lake kubwa ni hilo limdomo lake, anatukana serikali muda wote hata wakati yupo angani anakuja Kenya, alikua kila akipata fursa ya kuongea lazima akashifu. Alifaa kutumia akili atulie hadi aingie ndani ya nchi, atumie muda huu ambapo Raila na Uhuru wamesalimiana kuisanii, sasa hata huko kusalimiana ametukana pia.
Nadhani anachokifanya ni kutafuta umaarufu, yaani aendelee kuangazwa kwenye vyombo vya habari, hivyo anatukana ili azuiwe.
Alikuwa anatukana serikali akiwa angani?
Kama hujawahi kutoka nje ya mipaka ya Afrika huwezi kuelewa anachokifanya Miguna. Mwenzio anajaribu kuleta Afrika vision ya maisha aliyoyaona Magharibi.
Ukiwa Canada au Magharibi popote ukasimama barabarani ukaanza kutukana serikali hakuna atakaeita polisi, wewe ndio unaonekana chizi. Ukiwa ndani ya ndege wahudumu watabonyeza vi signal buttons kwamba tuna chizi huma ndani jamani! Lakini hakuna nguvu ya dola itakayo panic kwamba eti serikali imetukanwa!
Labda kwa sababu sisi huku vi dola vyetu havijiamini, vi dikteta vyetu vina manguvu ya kijeshi ya kutisha unarmed, unsuspecting, defenseless citizens. Donald Trump anakosa usingizi eti sijui mcheza sinema wa Hollywood kamwambia ana kibamia?
March 29, 2018 Nairobi, Kenya.
The government successfully deported the self-proclaimed NRM General after holding him at the airport facility for three days. He is aboard an Emirates Flight EK 722 headed to Dubai Source: After foiled attempt, State finally deports Miguna
Huyo ni Lissu wenuHuyu jamaa kwa kweli wanachomfanyia sio haki kabisa, tatizo lake kubwa ni hilo limdomo lake, anatukana serikali muda wote hata wakati yupo angani anakuja Kenya, alikua kila akipata fursa ya kuongea lazima akashifu. Alifaa kutumia akili atulie hadi aingie ndani ya nchi, atumie muda huu ambapo Raila na Uhuru wamesalimiana kuisanii, sasa hata huko kusalimiana ametukana pia.
Nadhani anachokifanya ni kutafuta umaarufu, yaani aendelee kuangazwa kwenye vyombo vya habari, hivyo anatukana ili azuiwe.