Tanzania kuna demokrasia ua umeamua kujaza server za jf?Na bado eti wanajilinganisha na Tanzania katika demokrasia, hata baada ya mahakama kutaka serikali isimsumbue Miguna, lakini bado serikali ya nyang'au inafanya vile ipendavyo, stupid country.
Kenya ranked as 'failed state'
kingereza kigumu bado yupo hapo airport au aliondoka na hiyo ndege?
hatari sana na yeye siatoe hizo doc..!Akiwa airport bado hajaingia Kenya. Mpaka aruhusiwe baada ya security kuangalia docs zake.
kumbe alishafika huko dubai?March 29, 2018
Dubai, UAE
Lawyer Miguna Miguna on a hospital bed at Dubai airport.
Lawyer Miguna Miguna has been taken ill at Dubai airport.
In the latest photos that he shared, he is seen in a hospital bed receiving medical attention.
Self-proclaimed NRM General Miguna Miguna arrived in Dubai Thursday morning and refused to leave the international airport insisting that has to be brought back to Kenya.
Miguna Miguna receiving treating at Dubai airport.
Earlier in a message, Miguna stated that he required medical attention, claiming that all those who came to see him were denied access.
Source: www.standaRd media.co.ke
Newspapers review: Miguna Miguna deported again
Source : Kenya Citizen TV
kumbe alishafika huko dubai?
hahahah sindano tena? huyu jmaa aangalie asijepakwa unga akapotea mazimaMawakili wa Miguna wanadai alidungwa sindano za 'kupumbaza' kabla ya kupandishwa ktk ndege kwa lazima jana usiku.
Na sasa yupo Dubai airport chumba maalum cha matibabu kama picha ambazo Miguna ame- 'share' kutokana na sindano alidungwa na kashkash alizopitia Jomo Kenyatta Int'l Airport Nairobi Kenya.
Yupo mapumziko ktk zahanati ili kuchunguza afya yake baada ya kudai anajisikia vibaya kiafya alipowasili Dubai.