ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna minyau ya jirani zangu ipo kundi karibu minne huwa Ina tabia ya kuja kufanya ngono karibu na dirisha langu nimejaribu kuifukuza iache mazoea hayo lakini imeshindikana.mida yao ni saa 2 usiku,saa 7 usiku na saa 11 alfajiri.hasa lile li jike ndio huwa linalia vibaya Sana.kuna siku nilitega sumu kwenye samaki nikaiwekea pale inapopenda kuja ikala samaki na kufa haikukufa.nifanyeje ndugu zangu paka hizi zimenichosha kila siku inandinyana tu mpaka Mimi nashindwa kulala
Hio picha niliwapiga juzi washenzi sana
Hio picha niliwapiga juzi washenzi sana