Miguno ya nyau imekuwa KERO nifanye Nini?

Miguno ya nyau imekuwa KERO nifanye Nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna minyau ya jirani zangu ipo kundi karibu minne huwa Ina tabia ya kuja kufanya ngono karibu na dirisha langu nimejaribu kuifukuza iache mazoea hayo lakini imeshindikana.mida yao ni saa 2 usiku,saa 7 usiku na saa 11 alfajiri.hasa lile li jike ndio huwa linalia vibaya Sana.kuna siku nilitega sumu kwenye samaki nikaiwekea pale inapopenda kuja ikala samaki na kufa haikukufa.nifanyeje ndugu zangu paka hizi zimenichosha kila siku inandinyana tu mpaka Mimi nashindwa kulala
Hio picha niliwapiga juzi washenzi sana
UFl1STJQqdr_ridiculous-cats-mating-part-ii-loud-the-best-cats-mating.jpeg
 
Wanasema uume wa paka una vifundovifundo so unapoingia jike anapata maumiv makali sana ndo maana huwa anatoa sauti kali kama unazozisikiaga...

Kiukweli mpaka paka afe dah ni mgumu kweli kweli kufa...
Kuna minyau ya jirani zangu ipo kundi karibu minne huwa Ina tabia ya kuja kufanya ngono karibu na dirisha langu nimejaribu kuifukuza iache mazoea hayo lakini imeshindikana.mida yao ni saa 2 usiku,saa 7 usiku na saa 11 alfajiri.hasa lile li jike ndio huwa linalia vibaya Sana.kuna siku nilitega sumu kwenye samaki nikaiwekea pale inapopenda kuja ikala samaki na kufa haikukufa.nifanyeje ndugu zangu paka hizi zimenichosha kila siku inandinyana tu mpaka Mimi nashindwa kulala
Hio picha niliwapiga juzi washenzi sanaView attachment 918296
 
Ningeomba Full Video Nione Na Mm Jinsi Wanavyoanza Mpka Kumaliza Ila Naogopa T C R A Maana Nasikia Mh Makonda Kakataza Video Za Xxx Kwnye Simu
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
mkuu acha wivu waache wagegedane kama vipi na wewe tafta dem kamgegede mlangoni kwa mmiliki wa hayo manyau ili nae aone kadhia unayoipata.
 
Hawa wa kwetu Ngarenaro wanatembea na maziwa ukiwawekea sumu kwenye nyama wanakunywa maziwa.Time zao usiku tu kwenye dari na paa za nyumba.
 
Chukua ndimu kamua kisha uweke na chumvi. Baada ya hapo weka mchanganyiko wako sehemu wanayokuja kupiga kelele. Huu ushauri alinipaga ndg Mshana baada ya kumuuliza mana hata huku walikua wakifanya hiyo michezo yao. Jaribu, mi sikuifanya coz walihamaga baada ya kumtandika jiwe la maana mmoja wa mapaka hayo. (Lile jiwe uzito wake una-range kwenye robo kilo kuelekea nusu kilo), sipendagi ujinga mimi Mungu atanisameh kwa kweli mana kero zilizidi
 
Back
Top Bottom