Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
Hello wana JF na FJ Doctor.
Kuna dada hapa offisini kwetu akivaa viatu vyenye soli hata nchi mbili tu magoti yanatoa sauti kama ya ile inayosikia mtu akivunja vidole (eehn jamani lugha ngumu sijui naeleweka) akivaa high heels ndo kabisaaa miguu intoa hiyo sauti hadi balaa. lakini akivaa flat shoes hakuna mlio wowote. Basi mwenyewe anakerwa sana na hii hali ila hajui afanyeje. Sio mnene hivyo uzito, mwenyeweni mwembamba kabisa.
Sasa je hii inasababishwa na nini?
na je tiba yake ni nini? (in terms of medication, lishe, mazoezi etc)