Miguu inauma

Miguu inauma

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Habari wakuu,

Nina hili tatizo, nikisimama miguu inauma.

Nahitaji msaada wenu wapendwa.

Asanteni.
 
Mara nyingi inakuwa ni upungufu wa calcium mwilini...wasiliana nasi kwa namba 0653299934 kwa msaada
 
kama utaweza jilazimishe kufanya zoezi la kutembea kila siku kwa dakika 15 au zaid,kama utashindwa nenda hospital
 
Upo Canada then unaomba msaada kwa wabongo? au upo Kigogo ulikuwa unatuzingua?
 
Back
Top Bottom