MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 6, 2015 #1 Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jan 6, 2015 #2 hakuna dawa hiyo unazaliwa nayo