Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
22yearsUna umri gani mkuu ??
Tuanzie hapo kwanza
Lishe yako ni ya shida, hauna skonyo. Kula sana Bamia na makolokolo ya kutosha .
Piga msosi eroo hizo ni dalili ya supu kuisha miguuni piga na bamia za kuzidi
Najua ushaambiwa mengi tu, mfano Usizini, ikimbieni zinaa nk. Ila hamuelewiLakini si tunaambiwa Bamia linapunguza nguvu za kiume?
Dogo pole sana hilo ni suala lishe duni ila usisahau kwenda hospitalNaombeni msaada mm nikifanya mapenzi miguu inaniuma sana.sjajua hili tatizo linatokana na nini kwa anayejua kama ni ugonjwa nikatibiwe kabisa hili tatizo lisijirudie maana kuna muda hadi nahofia kushiriki hili tendo kwa kuhofia miguu kuanza kunisumbua kiufupi nakosa hadi raha
Nikifanya mapenzi na inauma kwenye jointmfano mazoezi gani?
Na inauma sana eneo gani?
aaa kumbe msosi kijana kama aalivyokushauri wengine na karanga pia.Nikifanya mapenzi na inauma kwenye joint
Sasa miguu na mapenzi wapi na wapi mkuu mapenzi nimefanya juma tatu mpaka leo inauma tena nilipiga goli moja tu [emoji15]aaa kumbe msosi kijana kama aalivyokushauri wengine na karanga pia.
wewe nimekuuliza ni mazoezi gani hayo ukifanya miguu inauma, ukajibu ukifanya mapenzi, halafu saizi unataka kutetea kuwa kufanya mapenzi si sababu ya miguu kuuma, mbona hueleweki.Sasa miguu na mapenzi wapi na wapi mkuu mapenzi nimefanya juma tatu mpaka leo inauma tena nilipiga goli moja tu [emoji15]
Lishe yako ni ya shida, hauna skonyo. Kula sana Bamia na makolokolo ya kutosha .