MIGUU KUUMA

MIGUU KUUMA

Raphael gadau

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,006
Reaction score
306
Naombeni msaada mm nikifanya mapenzi miguu inaniuma sana.sjajua hili tatizo linatokana na nini kwa anayejua kama ni ugonjwa nikatibiwe kabisa hili tatizo lisijirudie maana kuna muda hadi nahofia kushiriki hili tendo kwa kuhofia miguu kuanza kunisumbua kiufupi nakosa hadi raha
 
Dogo pole sana hilo ni suala lishe duni ila usisahau kwenda hospital
 
aaa kumbe msosi kijana kama aalivyokushauri wengine na karanga pia.
Sasa miguu na mapenzi wapi na wapi mkuu mapenzi nimefanya juma tatu mpaka leo inauma tena nilipiga goli moja tu [emoji15]
 
Sasa miguu na mapenzi wapi na wapi mkuu mapenzi nimefanya juma tatu mpaka leo inauma tena nilipiga goli moja tu [emoji15]
wewe nimekuuliza ni mazoezi gani hayo ukifanya miguu inauma, ukajibu ukifanya mapenzi, halafu saizi unataka kutetea kuwa kufanya mapenzi si sababu ya miguu kuuma, mbona hueleweki.
Any way, ishu ni msosi kama mwanzo.
Ila ikitokea labda hizo joints zinavimba au kushindwa kukunja na kukunjuka vizuri ni kwenda hospitali tu
 
Back
Top Bottom