MIGUU KUWAKA MOTO,KUPATA GANZI NA KUHISHIWA NGUVU MIGUUNI KIASI CHA KUYUMBAYUMBA KAMA NIMELEWA.

ITmaster

Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
5
Reaction score
4
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa[emoji120]
 
Mdau humu kimya sana?
 
Please go see the dokta.... Tena wapi Hospital !!
Ndg wahi haraka ..Kama huna pesa ..kopa fasta!!
 
Umepima sukari (diabetes).
Thread closed. Hiyo ni Diabetes... Hiyo condition inaitwa Hypoglycemeia. Kunywa sana vinywaji vyenye sukari nyingi kipindi mwili ukiishiwa nguvu... Ila nenda pia hospitali uhakikishe na vipimo ili uanze dozi.
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa[emoji120]
Vp hali inaendaje bro?
 
Thread closed. Hiyo ni Diabetes... Hiyo condition inaitwa Hypoglycemeia. Kunywa sana vinywaji vyenye sukari nyingi kipindi mwili ukiishiwa nguvu... Ila nenda pia hospitali uhakikishe na vipimo ili uanze dozi.
[/QUOT

Kama ulikua unafanya Sana mazoezi arafu unakua mvivu kula Acha.
Kama ulikua na stress punguza.
Kama ulikua unapitiliza muda wa kula au una kula kwa kujibana Acha.
Kama ulikua unatumia Sana dawa za hospital hasa antibiotics kwa miezi miwili au mmoja usilishangae tatizo.
***mwisho.
Kaa masaa nane Bila kula chochote Kisha kapime kisukari.

Naongea kwa uzoefu.. Hizo dalili zilinipata na Mimi nikasumbuka wee mwisho wa siku nikaambiwa kupima kisukari...

Nikajikuta inasoma 2.5
.....

Nikashauliwa nitumie vinywaji vya sukari, cake na nanasi.. nimefanya hivyo lakini bado.

Kama kunamtu anajua tiba ya sukari kushuka tafadhari atusaidie.

..... Napanga jumamosi nirudi hosipital maana tabu inakuja hasa Kama usiku nilala na mtoto mzuri. Asubuhi naamka mwili unanguvu sawa lakini miguu inaishiwa nguvu nikitembea na pepesuka, nahisi macho kufumba., Njaa hasa nisipo kula vitu vyenye sukarisukari., Nahisi pia Kama hali ya kizungu zungu.....

Msaada
 
peripheral neuropathy,,, inaweza kuwa due to diseases Kama Diabetes mellitus,, hypertension,, HIV,, n.k inaweza kuwa side effect za dawa eg ARVs eg EFV, TDF,, au INH(TB preventive therapy) so funguka mkuu ongeza nyama kwenye uzi tupate history
 
Back
Top Bottom