jamani mimi nina matatizo ya miguu hasa mguu wangu wa kulia tatizo linakuja pale ambapo ninakaa kwa muda mrefu au nikichuchumaa na nikiunyoosha mguu unalia koo sa sijajua tatizo likowapi please naomba msaada wako

Kuna ugonjwa unaitwa arthritis. Ni hali ya kuishiwa vilainisho (lubricants) kwenye maungio ya mifupa. Ikiendelea kwa muda mrefu mifupa inasagana na mgonjwa kupata maumivu makali. Ukiuwahi unatibika. Nenda hospitali ukapimwe mapema iwezekanavyo.