Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ugonjwa unaitwa arthritis. Ni hali ya kuishiwa vilainisho (lubricants) kwenye maungio ya mifupa. Ikiendelea kwa muda mrefu mifupa inasagana na mgonjwa kupata maumivu makali. Ukiuwahi unatibika. Nenda hospitali ukapimwe mapema iwezekanavyo.habari zenu
jamani mimi nina matatizo ya miguu hasa mguu wangu wa kulia tatizo linakuja pale ambapo ninakaa kwa muda mrefu au nikichuchumaa na nikiunyoosha mguu unalia koo sa sijajua tatizo likowapi please naomba msaada wako