Mihan gas na oryx gas ni ipi nzuri zaidi? Msaasa plz

Mihan gas na oryx gas ni ipi nzuri zaidi? Msaasa plz

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Nataka nichukue mtungi wa gas, bt nimestack aina gani ya gas nichukue kati ya oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie kiushauri. Shukrani sana
 
Je hii mitungi inajazwa sehemu moja? kwanini bei iwe tofauti?
 
Back
Top Bottom