Mwambie aliyekutuma kwamba umetukuta na hatudanganyiki. Jipange upya!Rafiki mimi ni mteja, biashara ni wazi, watumiaji ni sisi jamii forums tuongea kwa uwazi, si kwamba mm ni wakala au niko kumchafulia mtu biashara yake, nahitaji majibu sahihi kwa hili
🤔Nikinunua hiyo mitungi miwili, na mkaa gunia 3 najua sitosumbuliwa kwa miezi 4 hadi 5
Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
Sina geji mkuuHiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
VizuriNikinunua hiyo mitungi miwili, na mkaa gunia 3 najua sitosumbuliwa kwa miezi 4 hadi 5
Hasa walanguzi wa mazao ya wakulima huko vijijini, mfano ufuta, choroko, wanawapiga sana kwa kubana mizani......lakini mamlaka ya vipimo wapo wanakula kiyoyozi tu ofisini.Kwenye ujazo wa gesi na vipimo vya mizani (uzito kilogramu au gramu) watu tunapigwa sana bongo.
Nyie mtumieni waziri tu huku kwingine mtachemkaHabari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii pichaView attachment 2398441
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza, View attachment 2398442
Kwanza hamna mtungi wa 50kg anajitekenya mwenyewe uyounanuaje mitungi miwili kwa wakati mmoja yote ya 50kg?
Mimi nna mtungi wa oryx na mihan uwa nabadili badili mwezi huu naweza nunua mihan .wezi ujao oryx sijanotice utofautiHabari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii pichaView attachment 2398441
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza, View attachment 2398442
Amna kampuni iliyo tayari kupoteza wateja wake kwa kupunguza kg 2 au moja kwenye mtungi, nimewahi kufanya iyo biashara kama wakala wao wanakwambia ukipima kama mtungi ukakuta upo pungufu usimuuzie mteja rudisha depo na mala chache sana kukuta mtungi upo pungufu na ukikutana nao unakuwa unavuja utausikia kabla hata ya kumuuzia mteja au kuupima.Kwenye ujazo wa gesi na vipimo vya mizani (uzito kilogramu au gramu) watu tunapigwa sana bongo.