Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii pichaView attachment 2398441
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza, View attachment 2398442
Oryx ni majizi, mimi hutumia Taifa gas, zamani Mihan
 
Nadhani kipimo sahihi ni uzito na siyo hiyo pressure gauge unayotumia!
 
Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
Pita madukani utapata tena pata kile kina button chini kinaitwa sensor inakata gesi kukiwa na leakage kubwa
 
Back
Top Bottom