Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

Oryx ni majizi, mimi hutumia Taifa gas, zamani Mihan
 
Nadhani kipimo sahihi ni uzito na siyo hiyo pressure gauge unayotumia!
 
Hasa walanguzi wa mazao ya wakulima huko vijijini, mfano ufuta, choroko, wanawapiga sana kwa kubana mizani......lakini mamlaka ya vipimo wapo wanakula kiyoyozi tu ofisini.
Huko mbali bucha za nyama na samaki sijui wanafutumia zile za digital wanatupiga hatali
 
Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
Pita madukani utapata tena pata kile kina button chini kinaitwa sensor inakata gesi kukiwa na leakage kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…