Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wakoini
Ninayo moja kama unataka 25k tu
 
Binafsi huwa napiga uzito, good thing ni kuwa uzito umekua indicated kwa huo mtungi.

Natumia Oryx ya 15Kg huu ni mwaka wa 4, kwa kweli sijawahi pata shida yoyote mana pia huwa nakadiria matumizi na mitungi yote ninayonunua inapishana kidogo muda wa matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikinunua hiyo mitungi miwili, na mkaa gunia 3 najua sitosumbuliwa kwa miezi 4 hadi 5
Hata mimi huwa nina mitungi hiyo 2.. Lakini huwa nanunua wa pili pale ule wa kwanza ukiwa chini ya nusu. Sipendi kabisa gesi ikiisha ndiyo nihangaike kwa sababu inaweza kuisha usiku.
 
Kupigwa tunapigwa sana tu hilo wala halihitaji digrii, hata huko Buchani ni kama kawa.

Mswahili na uadilifu ni tatizo kubwa sana.
 
MIHAN hawana mtungi Wa kilo 50
 
Acha kabisa utani wa kuifananisha gesi ya ORXY na huo ujinga wako wa MIHAN.

Kwanza tutathibitisha vipi kama huo mtungi mwingine haujatumika? Siku nyingine ukitaka kutuaminisha, basi tengeneza clip ya video, huku hiyo mitungi yote miwili ikiwa sealed! Then ifungue na kuijaribu wakati huo huo ili tuamini kama kweli wewe hina nia mbaya ya kuwaharibia biashara hao orxy.
 
mtoa mada acha upotoshaji, huo wizi ni kwa resellers na siyo kampuni husika

nimetumia Oryx na izo takataka zingine, hakuna utofauti wowote ule (miezi 5-6)
 
Vyamavingi Hata hao ORXY unaosema wanajaza vizuri huku wameonekana ni waswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…